Tag: trending videos
Alikiba afunguka kuhusu kuimba ‘Amapiano’
Mfalme wa Bongo fleva anayetamba na albamu ya ‘Only One King’ aliyoizindua hivi karibuni, Alikiba amesema kwamba sio lazima aimbe mtindo wa Amapiano k [...]
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 09, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumamosi, Oktoba 09, 2021
[...]
Anza Wikiendi yako na filamu hii ya ‘MIMI’
Katika filamu hii, mhusika (Mimi) anaigiza kama binti maskini mwenye ndoto za kuwa mwigizaji mkubwa lakini ndoto hizo zinakatishwa baada ya wanandoa w [...]
Elimu ya biashara: Umuhimu wa matumizi sahihi ya muda katika kukuza biashara
Matumizi sahihi ya muda ni mojawapo ya stadi muhimu zaidi unayopaswa kuwa nayo katika ukuzaji wa biashara. Changamoto ni kwamba mara nyingi hili ni ja [...]
Miaka 90 ya Desmundu Tutu na kumbukizi ya Sera ya Kibaguzi Afrika Kusini
Askofu Desmond Mpilo Tutu alizaliwa Oktoba, 7 1931 katika mji wa Klerksdorp Afrika Kusini. Wazazi wake walitoka makabila ya Xhosa na Tswana na akiwa m [...]
Ishara 7 kuwa Mama mkwe wako hakupendi
Wanawake wengi wanapitia chanagamoto za ugomvi kwenye ndoa zikihusuishwa na mama wakwe utajuaje kama mama mkwe wako hakupendi hizi hapa ni ishara aza [...]
Uchambuzi mfupi wa album mpya ya Alikiba (Only One King)
Mfalme wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba ameachia rasmi albamu yake ya 3 iliyokuwa inasubiriwa kwa muda mrefu yenye nyimbo takribani 16 aliyoipa jina la [...]
Unawezaje kutambua kuwa uhusiano ulionao ni hatari?
Kwenye maisha kuna muda unajikuta kwenye changamoto ambazo hujui utatokaje, changamoto za kuonewa, kuendeshwa na kunyanyaswa zimekuwa nyingi kuanzia k [...]
Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 05, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ;
[...]
Mjue Mtanzania aliyehusika kufichua Skendo ya Pandora
Pandora ni skendo inayohusisha watu mashuhuri duniani na mtandao mkubwa wa shughuli haramu katika masuala ya fedha na uwekezaji. Skendo hii inahusisha [...]