Tag: trending videos
Namibia, Botswana zafuta sharti la paspoti
Viongozi wa Botswana na Namibia wametia saini makubaliano ambayo yatawaruhusu raia wao kuvuka mpaka wa nchi hizo mbili bila hitaji la hati za kusafiri [...]
Falme za Kiarabu na Tanzania kuanza usambazaji wa mbolea kimkakati
Huenda uhaba wa mbolea unaowakumba wakulima wa Tanzania utapungua siku za hivi karibuni baada ya wawekezaji kuonyesha nia ya kuimarisha mfumo wa usamb [...]
Gesi asilia ya Mtwara kusambazwa malawi
Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole amesema mazungumzo kati ya Tanzania na Serikali ya Malawi ya Tanzania kuiuzia gesi asilia inayozal [...]
R. Kelly ahukumiwa miaka 20 jela
Mwimbaji wa Marekani Robert Kelly, maarufu R. Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono.
Kesi zisizoisha zim [...]
Milioni 5 kila goli mechi zote za CAF
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ahadi ya kununua magoli yatakayofungwa na Simba SC na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa iliyowekwa [...]
Fahamu kuhusu kimbunga ‘Freddy’
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu uwepo wa kimbunga ‘Freddy’ kilichopo kusini magharibi mwa bahari ya Hindi karibu na p [...]
Ndoto ya 1975 yatimizwa na Rais Samia
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere ya kujenga upya [...]
Ndege kubwa ya mizigo ATCL kuwasili nchini
Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) limesema inatarajia kupokea Ndege nne kwa mwaka huu ambapo ndege kubwa ya mizigo itawasili nchini mwishoni mwa mwezi M [...]
Lissu arejea Ubelgiji
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, Tundu Lisu amerejea nchini Ubelgiji kufanya mchakato wa kuhuisha kibal [...]