Tag: trending videos
Gridi nzima ya umeme ya taifa kufumuliwa
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema serikali inatajaria kuanza mradi mkubwa wa kufumua gridi nzima ya umeme ya taifa na kuirekebisha.
Lengo [...]
Lissu: Serikali ibane matumizi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo , (Chadema) amesema sababu ya kupanda kwa gharama za maisha nchi ni kodi ambazo serikali imeziw [...]
Bashe atoa angalizo kilimo cha mtandaoni
Watanzania wameshauriwa kutojihusisha na shughuli za kilimo ambazo zinatangazwa na makampuni mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii, kwani kihalisia h [...]
Waliondaki matusi wafutiwa matokeo
Baraza la Mitihani (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa wanne wa kidato cha nne mwaka 2022 walioandika lugha za matusi katika mitihani yao.
[...]
Asakwa kwa kumng’ata mama yake masikio
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, linamtafuta Michael Msapi (40), mkazi wa Kirando mkoani Rukwa kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumng’ata masikio yote mawil [...]
Zumaridi ahukumiwa mwaka mmoja jela
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza imemhukumu Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kumkuta na hatia kati [...]
Orodha ya wakuu wa wilaya wanaoendelea na kazi
Orodha ya wakuu wa wilaya wanaoendelea na kazi.
[...]
Uzalishaji Umeme na gesi asilia waongezeka nchini
Wizara ya Nishati imesema uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa gridi ya taifa umeongezeka na kufi kia megawati 1,777.05 Dese [...]
Mashabiki wa Arsenal wakamatwa
Polisi nchini Uganda imewakamata mashabiki 20 wanaoshangilia timu ya Arsenal baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Manchester United katika mchezo ul [...]