Tag: trending videos
Rais Samia afarijika kuona 58% ya wahitimu ni wanawake
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuleta mabadiliko chanya katika jamii mara wanapohitimu masomo yao.
Ameyasema hay [...]
Rais Samia akatisha safari yake
Rais Samia Suluhu Hassan amelazimika kufupisha ziara yake ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai na kurej [...]
Maboresho miundombinu ya viwanja vya ndege ni endelevu
Serikali imesema itaendelea kujenga na kupanua miundombinu ya viwanja vya ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi jirani.
K [...]
Nauli mpya za daladala
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri ardhini (LATRA) imetagaza viwango vipya vya bei ya nauli za daladala na mabasi ya mikoani huku nauli ya wanafunzi ikibakia [...]
Romania kufadhili wanafunzi 10 wa Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan amesema yeye pamoja na mgeni wake Rais wa Romania, Klaus Iohannis wamekubaliana kutoa nafasi za ufadhili wa masomo kwa wanafu [...]
Rais wa Romania kuja nchini kwa ziara ya kitaifa
RAIS wa Romania, Klaus Iohannis, kesho November 16 hadi 19, 2023 anatarajia kufanya ziara ya Kitaifa nchini hapa kufuatia mwaliko alioupata kutoka kwa [...]
Fahamu mashirika 9 yaliyofutiwa usajili
Bodi ya uratibu wa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini imefuta leseni za uendeshaji za mashirika tisa ya kimataifa na kitaifa ikiwemo taasisi ya Mo [...]
Tanzania na Zambia zasaini mikataba 8 ya ushirikiano
Tanzania na Zambia zimesaini mikataba 8 ya ushirikiano, kufuatia ziara ya kitaifa ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Zambia.
Mikataba hiyo ilifuati [...]
Rais Samia mgeni rasmi miaka 59 ya uhuru Zambia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Jamhuri ya Zambia zinazotarajiwa kufanyika [...]
Mfumo wa uteuzi wa mabalozi kutazamwa upya
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itautizama upya na kubadili mfumo wa sasa wa uteuzi wa mabalozi, ili kurejesha hadhi, umahiri na [...]