Tag: trending videos

1 77 78 79 80 81 123 790 / 1230 POSTS
Leo afariki dunia

Leo afariki dunia

Muigizaji wa Nollywood Leo Mezie amefariki dunia Jumamosi mwezi Mei tarehe 14 mwaka huu jijini Abuja alipokuwa anaugua baada ya kupandikizwa figo. [...]
Sauti Sol kukishtaki Chama cha Azimio

Sauti Sol kukishtaki Chama cha Azimio

Bendi maarufu ya Afropop Sauti Sol imetishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya chama cha muungano cha Azimio La Umoja kwa madai ya ukiukaji wa hakim [...]
Waziri angongwa na bodaboda

Waziri angongwa na bodaboda

Ofisa wa ngazi ya juu katika Serikali na chama cha upinzani cha Sudan People’s Liberation Movement in Opposition(SPLM-IO), Lual Lual Gau, amejeruhiwa [...]
Waziri: Aliyenajisi mtoto na kukimbia naye atafutwe

Waziri: Aliyenajisi mtoto na kukimbia naye atafutwe

Baada ya kufika jijini Arusha kwenye ziara fupi ya uhamasishaji wa Siku ya Kimataifa ya Familia, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Mak [...]
LHRC: Spika yupo sawa kuhusu akina Mdee

LHRC: Spika yupo sawa kuhusu akina Mdee

Afisa Uchehemuzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Maduhu William amefanya uchambuzi kuhusu maamuzi yaliyotolewa leo na Spika wa Jamhuri [...]
Air Tanzania kuanza safari za Pemba

Air Tanzania kuanza safari za Pemba

Kwa muda sasa, ndege za ATCL zimekuwa zikisafirisha abiria na mizigo kwenda Unguja, Zanzibar na siyo Pemba, jambo linaweza kuwa linaikosesha fursa ya [...]
Waliogushi barua warudhiswa kazini

Waliogushi barua warudhiswa kazini

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia TAMISEMI Ndg. [...]
Tanzania yaguswa na kifo cha Rais wa UAE

Tanzania yaguswa na kifo cha Rais wa UAE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi LIberata Mulamula (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Umoja wa Fal [...]
Spika Tulia awakingia kifua Mdee na wenzake

Spika Tulia awakingia kifua Mdee na wenzake

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson amesema wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao walivuliwa u [...]
Kinara mishahara EAC

Kinara mishahara EAC

Marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameboresha maslahi ya watumishi kwa kuongeza kima cha chini cha mishahara kwa viango tofauti. [...]
1 77 78 79 80 81 123 790 / 1230 POSTS
error: Content is protected !!