Ujumbe wa Rayvanny kwa Rais Samia Suluhu

HomeBurudani

Ujumbe wa Rayvanny kwa Rais Samia Suluhu

Msanii na mmiliki wa lebo ya muziki ya Next Level, Rayvanny, kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa instagram ameweka ujembe kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan akionyesha kuvutiwa na utendaji kazi wake tangu huku akikiri kwamba kupitia yeye huwa anajifunza vitu vingi sana.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by CHUI… ? (@rayvanny)

error: Content is protected !!