Uteuzi kutoka Chama cha Mapinduzi

HomeUncategorized

Uteuzi kutoka Chama cha Mapinduzi

Chama cha Mapinduzi CCM kimefanya uteuzi wa Makatibu wa Mikoa na Wilaya wa Chama hicho leo tarehe 08 Novemba 2021. Taarifa iliyotolewa na CCM imeeleza kuwa Makatibu wa mikoa 32 wameteuliwa ambapo waliobaki vituo vyaovya kazi ni 10, waliopangiwa vituo vipya ni 12 na wapya ni 9;Aidha Makatibu wa Wilaya walioteuliwa ni 168 ambapo waliopangiwa vituo vipya ni 67, waliobaki kwenye vituo vyao vya kazi ni 45 na wapya ni 56.

MAKATIBU WA CCM MIKOA NA WILAYA 07 NOVEMBA 2021 FINAL
error: Content is protected !!