Wilder apasuka mdomo, avunjika Mkono na Kidole

HomeBurudani

Wilder apasuka mdomo, avunjika Mkono na Kidole

Imeelezwa kuwa, Deontay Wilder, Bondia Mmarekani aliyechezea kichapo katika ardhi ya nyumbani nchini Marekani toka kwa Bondia toka Uingereza Tyson Fury amevunjika mkono.

Akizungumza na ESNews mkufunzi wa Deontay Wilder amesema kuwa baada ya pambano kumalizika kati ya Fury na Wilder, Bondia wake (Wilder) alipelekwa hospitali kwa ajili ya vipimo na ndipo ilipogundulika kuwa amevunjika mkono, kidole na kupasuka mdomo.

Katika pambano hilo, Tyson Fury alimgaragaza Wider kwa KO kwenye raundi ya 11.

error: Content is protected !!