Zari na Diamond ndani ya Filamu moja

HomeBurudani

Zari na Diamond ndani ya Filamu moja

Msanii kutoka nchini Tanzania na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond Platnumz amejikuta akiwa kwenye filamu moja pamoja na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Zarina Hassan ambapo kipindi cha mahusiano yao walifanikiwa kupata watoto wawili, Latifah na Nillan.

Filamu iliyowakutanisha wawili hao ni ‘Young, Famous and African’ ambayo inatarajiwa kuachiwa mwezi Machi tarehe 18 mwaka huu kwenye mtandao wa Netflix.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Netflix South Africa (@netflixsa)

error: Content is protected !!