Author: Asmah Sirikwa
Todd Boehly ainunua Chelsea
Baada ya miaka 19 chini ya uongozi wa Roman Abramovich wa raia wa Urusi-Israeli, klabu ya mpira wa miguu ya Uingereza, Chelsea sasa kuhamia mkononi mw [...]
Madini ya Afrika yanayotumika kutengeneza simu
Utajiri mkubwa wa Afrika upo kwenye ardhi yake, ardhi yenye rutuba kustawisha mimea, lakini ardhi hiyohiyo yenye kuficha vito vya thamani na vya upeke [...]
PM amsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji Arusha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 24 amewasimamisha kazi watumishi sita wa jiji la Arusha akiwemo Mkurugenzi wa jij hilo Dkt. John Pima kwa makosa [...]
Mchezaji wa Serengeti Girls gumzo mtandaoni
Mchezaji wa timu ya Taifa chini ya miaka 17 - Serengeti Girls, aliyeifungia Tanzania magoli matatu kati ya manne kwenye mechi ya kufuzu Kombe la Dunia [...]
Ajali mbaya yaua watatu
WATU watatu wamefariki dunia na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali ya basi la Mohamed Classic iliyotokea Hanang mkoani Manyara.
Basi hilo lenye nam [...]
Chanzo cha watu kupigwa mawe Arumeru
Mkoani Arusha, wilayani Arumeru, wananchi wamekuwa wakipigwa na mawe kwa takribani wiki mbili sasa bila kujua mawe hayo yanatoka wapi.
Baada ya kuz [...]
Mwanamke wa kwanza Afrika kuchezesha Kombe la Dunia
Akiwa na binti mdogo mwenye mapenzi makubwa na michezo, mara baada ya kuambiwa kuwa yeye ni mdogo sana kucheza mpira wa kikapu, aliamua kuhamishia map [...]
Watangazaji walazimika kuficha sura
Sheria mpya ya viongozi wa Taliban nchini Afghanistan imewalazimisha waandishi wa habari na watangazaji wanawake kuziba nyuso zao wanapoonekana kwenye [...]
Wabunge waomba mshahara milioni 23
Wabunge wa Kenya wameomba ongezeko la 62% ya mshahara wao ili kufikia shilingi milioni 1.15 ya Kenya sawa na milioni 23 za Kitanzania.
Wabunge hao [...]
Ushahidi wa mauaji mikononi mwa Tumbili
Kesi ya mauaji iliyotokea 2016 imeahirishwa baada ya Tumbili kuiba ushahidi nyeti wa kesi hiyo.
Polisi wa Rajasthan hivi karibuni wameshindwa kufik [...]