Author: Cynthia Chacha
Fahamu watu wanne wanaoweza kuharibu mahusiano yenu
Hivi karibuni mahusiano na ndoa za watu wengi hasa vijana zimekua zikivunja huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi au kushindwa kuvumilian [...]
Makalla: Ukimkosa mwanao nenda polisi au hospitali
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amesema Mzazi mwenye mtoto Panya Road kuanzia jana Septemba 15, 2022 asipomuona nyumbani asihangaike akamta [...]
Magazeti ya leo Septemba 16,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Septemba 16,2022.
[...]
TFF yapitisha usajili wa Kisinda Yanga
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
[...]
Makala ya Rais Samia Siku ya Demokrasia
Ifuatayo ni makala iliyoandikwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu siku ya Demokrasia Duniani.
[...]
Askari 300 kuwasaka Panya Road
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema wametoa askari 300, kwa ajili ya kuendesha opereseheni ya kuwakamata Panya Road, ambao wamekuwa wa [...]
Lita ya petroli Nairobi Sh3469.94
Lita moja ya petroli jijini Nairobi sasa itauzwa kwa Sh3469.94 (Ksh179.30) kutoka Ksh159 katika bei mpya iliyotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Nisha [...]
Busara yatumika kupunguza faini ya Manara
Kamati ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF leo imetangaza kumpunguzia adhabu Msemaji wa Yanga Haji Manara kutoa milioni 20 ya faini aliyotaki [...]
Magazeti ya leo Septemba 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Septemba 15,2022.
[...]
Ajali Mbeya yaua DED wa Igunga
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Fatuma Latu amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari katika eneo la Inyala, [...]