Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Septemba 29,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Septemba 29,2022.
[...]
Bilioni 700 kuwafikishia umeme walio nje ya gridi ya Taifa
Huenda idadi ya Watanzania wanaotumia umeme ya gridi ya Taifa ikaongezeka siku za hivi karibuni baada ya Benki ya Dunia kutoa ufadhili kwa ajili kupel [...]
Historia yaandikwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mtwara
Huduma za kibingwa za Taasisi ya tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) zimeanza kutolewa katika hospitali mpya na ya kisasa ya rufaa ya kanda kusini Mtwara a [...]
Masharti 7 ya Samia Scholarship
Serikali imetangaza masharti saba kwa wanafunzi watakaoomba kunufaika na ufadhili (Samia Scholarship), ikiwemo kuhakikisha kuwa kiwango cha ufaulu hak [...]
Bashungwa asimamisha kazi watano Manyara
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi Maafisa watano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili kupisha [...]
Bye Bye Dejan ‘Mzungu’
Mchezaji wa kigeni kwenye klabu ya Simba, Dejan Georgijevic amethibitisha kuvunjika kwa mkataba kati yake na klabu hiyo ya wekundu wa msimbazi taarifa [...]
Magazeti ya leo Septemba 28,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Septemba 28,2022.
[...]
Mwamuzi pambano la Mandonga asimamishwa
Mwamuzi Habibu Mohammed aliyechezesha pambano la Karim Mandonga na Salim Abeid amesimamishwa na Chama cha Waamuzi wa Ngumi nchini kwasababu ya kucheze [...]
Utaratibu wa kuomba Samia Scholarship
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa maelekezo ya namna kuomba ufadhili wa Samia Scholarship kwa wale waliokidhi vigezo.
[...]
Orodha ya waliokidhi ufadhili wa Samia Scholarship
Hii hapa orodha ya majina ya wanafunzi waliokidhi kupata ufadhili wa Samia Scholarship.
[...]