Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Oktoba 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Oktoba 26,2022.
[...]
Serikali imeifungia Shule ya Chalinze Modern Islamic
Serikali imeifungia Shule ya Awali an Sekondari ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha mitihani kwa muda usiojulikana kwa mujibu wa kifungu cha 4 ( [...]
Kweli walibadilishiwa namba za mtihani
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa baraza la Mitihani limejiridhisha kwamba watahiniwa katika shule ya Chalinze Mo [...]
Watumiaji wa intaneti waongezeka kwa 6.7%
Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonyesha laini za simu zinazotumiwa na watu kwa ajili ya mawasiliano zimefikia milioni 58.1 Septemb [...]
Kuna nini WhatsApp ?
Mtandao wa WhatsApp umeonekana kukabiliwa na hitilafu baada ya baadhi ya watumiaji kuripoti matatizo ya kushindwa kutuma na kupokea jumbe mbalimbali k [...]
Magazeti ya leo Oktoba 25,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Oktoba 25,2022.
[...]
Ubalozi wa Marekani kutoa tiketi za bure kuangalia uzinduzi wa Black Panther II
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa taarifa kwamba utatoa tiketi za bure kuhudhuria uzinduzi wa filamu ya "Black Panther" utakaofanyika Century [...]
Tanzania, DRC kuinua uchumi kwa pamoja
Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimekubaliana kushirikiana kujenga miundombinu ya reli ya kisasa na barabara ili kuimarisha biashar [...]
Waziri Mkuu aenda Korea Kusini ziara ya siku tatu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini kwenda Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu [...]
Magazeti ya leo oktoba 24,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Oktoba 24,2022.
[...]