Author: Cynthia Chacha

1 104 105 106 107 108 237 1060 / 2365 POSTS
Nandy ajifungua mtoto wa kike

Nandy ajifungua mtoto wa kike

Msanii wa muziki wa bongo fleva, Nandy kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha kujifungua mtoto wa kike.   Vi [...]
TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya utangazaji

TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya utangazaji

Kamati ya maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tahadhari kwa vyombo vya Utangazaji nchini kuzingatia urushaji wa maudhui yenye kuz [...]
P square jela maisha kwa kumbaka mtoto Coco Beach

P square jela maisha kwa kumbaka mtoto Coco Beach

Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu kama P square, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya ku [...]
Bashungwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Muheza

Bashungwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Muheza

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ameagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muh [...]
Rais Samia alipa makavu Jeshi la Polisi

Rais Samia alipa makavu Jeshi la Polisi

Ni juzi tu tangu alipotoa maagizo ya kurekebisha utendaji wa Jeshi  la  Magereza nchini, Rais Samia Suluhu Hassan jana ameligeukia Jeshi la Polisi na [...]
Magazeti ya leo Agosti 31,2022

Magazeti ya leo Agosti 31,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Agosti 31,2022. [...]
Hii hairuhusiwi

Hii hairuhusiwi

Taarifa kwa Umma kutoka Wizara ya Maliasili JAMBO HILI HALIRUHUSIWI NDANI YA HIFADHI ZETU! Jambo hili tunaweza kulifurahia lakini ni hatari na H [...]
94.3% wakazi wa DAR wamehesabiwa

94.3% wakazi wa DAR wamehesabiwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema Mkoa huo umefanya vizuri kwenye zoezi la Sensa ya watu na Makazi ambapo mpaka asubuhi ya leo Agost [...]
Chama cha Wagumba cha paza sauti

Chama cha Wagumba cha paza sauti

Chama cha Wagumba Tanzania (CCWTZ) kimeahidi kusimamia haki za wagumba nchini ili waweze kuondokana na vitendo vya ukatili wanavyokumbana navyo ndani [...]
Mahakama yatupilia mbali ombi la Ruto

Mahakama yatupilia mbali ombi la Ruto

Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali ombi la Rais Mteule William Ruto la kupinga matumizi ya hati ya kiapo iliyowasilishwa na John Githongo, [...]
1 104 105 106 107 108 237 1060 / 2365 POSTS
error: Content is protected !!