Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Oktoba 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 15,2022.
[...]
Rais Samia awapa maagizo mazito kwa TAKUKURU na ZAECA
Rais Samia Suluhu Hassan ameziagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) na Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzib [...]
Tanzania yapongezwa na Benki ya Dunia
Benki ya Dunia, imeimwagia sifa Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, inayopata fedha kutoka kwenye [...]
TRA yatoa ufafanuzi tuhuma za Mama Kibonge
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi kwa umma kuhusu tuhuma zilizokuwa zikitolewa kwenye mtandao wa 'twitter' kuwa ilikua inakusanya kodi [...]
Magazeti ya leo Oktoba 14,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Oktoba 14,2022.
[...]
OKTOBA 13 : No Bra Day
OKTOBA 13 kila mwaka ni siku maalum ya kupaza sauti na kufanya watu watambuE kwamba saratani ya matiti ipo na hivyo ni muhimu wanawake wakajijengea ut [...]
Rais Samia anavyomuenzi Mwalimu Nyerere
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kumuenzi baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Serikali itaendeleza mapambano dhidi ya ujinga, maradhi [...]
Wanyama kufungwa redio
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana, leo Oktoba 13, 2022, amezindua ufungaji wa redio za mawasiliano kwa wanyamapori katika Hifadhi ya Taifa [...]
Jeshi la Polisi kinara vitendo vya Rushwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imezitaja sekta zinazoongoza kwa vitendo vya rushwa nchini huku Jeshi la Polisi likishika nafasi y [...]
Magazeti ya leo Oktoba 13,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Oktoba 13,2022.
[...]