Author: Cynthia Chacha
Dkt. Mapango azindua stendi ya mabasi Mwanza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango jana tarehe 13 Septemba 2022 amezindua rasmi stendi ya mabasi na maege [...]
Magazeti ya leo Septemba 14,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Septemba 14,2022.
[...]
Mikoa 18 kukosa umeme leo Septemba 13
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kuhusu kukosekana kwa umeme katika mikoa 18 nchini.
[...]
Wanaojaribu kujiua wasishtakiwe
Madaktari wanaotibu magonjwa ya afya ya akili, wameiomba serikali kupitia upya sheria inayowafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe tiba [...]
Serikali imelipa madai ya Sh. bilioni 954.04
Serikali imelipa jumla ya Sh bilioni 954.04 ikiwa ni madai ya VAT sawa na asilimia 431.7 ya lengo la kulipa Sh bilioni 221.01 kwa mwaka 2021/22, Naibu [...]
Ahadi ya Rais Samia kwa WaKenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa Kenya William Ruto kwa kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa n [...]
Magazeti ya leo Septemba 13,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Septemba 13,2022.
[...]
Zuchu amshtaki Ostaz Juma TCRA
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii kutoka lebo ya Wasafi ameweka wazi kwamba amemshtaki Ostaz Juma, TCRA baada ya kumdhihaki na kuongea maneno [...]
Waziri Makamba azindua kiwanda cha kuzalisha transfoma
Waziri wa Nishati, January Makamba amezindua kiwanda cha kuzalisha transfoma cha kampuni ya Elsewedy Electrica Industrial Complex kilichopo Kigamboni [...]
Rais Samia azidi kuwawezesha wanawake na vijana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kutoa msaada wa kutosha kwa wajasiriamali wanawake na vijan [...]