Author: Cynthia Chacha

1 110 111 112 113 114 256 1120 / 2559 POSTS
Magazeti ya leo Oktoba 3,2022

Magazeti ya leo Oktoba 3,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Oktoba 3,2022. [...]
Angellah Kairuki ateuliwa kuwa Waziri wa TAMISEMI

Angellah Kairuki ateuliwa kuwa Waziri wa TAMISEMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Amemteua Angellah Jasmine Kairu [...]
Dkt. Tax ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Dkt. Tax ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena L [...]
Bashungwa ateuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Bashungwa ateuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Amemteua Mhe. Innocent Lugha Ba [...]
Rais Samia ashinda tuzo 2

Rais Samia ashinda tuzo 2

Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Watetezi na Amani kuwa mshindi wa tuzo mbili za kimataifa ikiwemo ya amani duniani 202 [...]
Mgombea ajinadi kuwa na nguvu za kiume

Mgombea ajinadi kuwa na nguvu za kiume

Mgombea wa nafasi ya mjumbe wa halmashauri ya CCM wilaya ya Dodoma amewavunja mbavu wajumbe wa mkutano mkuu wa wilaya baada ya kuwaomba wamchague kwa [...]
Mahakama: Uamuzi wa kuwaondoa Wamasai ulikua kisheria

Mahakama: Uamuzi wa kuwaondoa Wamasai ulikua kisheria

Mahakama ya Afrika Mashariki imesema uamuzi iliyochukuliwa na serikali ya Tanzania wa kuzingira ardhi kwa ajili ya ulinzi wa wanyamapori na kuwaondoa [...]
Polisi Kenya wanamsaka Mtanzania aliyemuua mwenzake kisa ugali

Polisi Kenya wanamsaka Mtanzania aliyemuua mwenzake kisa ugali

Polisi nchini Kenya wanamtafuta kijana wa Kitanzania anayedaiwa kumua mwenzake wakigombani bakuli la ugali. Kamanda wa Polisi Kaunti ya Narok, Kizi [...]
Mapato ya utalii yazidi kupaa

Mapato ya utalii yazidi kupaa

Mapato yanayotokana na utalii yameongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 (z [...]
Magazeti ya leo Oktoba 1,2022

Magazeti ya leo Oktoba 1,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 1,2022. [...]
1 110 111 112 113 114 256 1120 / 2559 POSTS
error: Content is protected !!