Author: Cynthia Chacha
Masharti 7 ya Samia Scholarship
Serikali imetangaza masharti saba kwa wanafunzi watakaoomba kunufaika na ufadhili (Samia Scholarship), ikiwemo kuhakikisha kuwa kiwango cha ufaulu hak [...]
Bashungwa asimamisha kazi watano Manyara
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi Maafisa watano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili kupisha [...]
Bye Bye Dejan ‘Mzungu’
Mchezaji wa kigeni kwenye klabu ya Simba, Dejan Georgijevic amethibitisha kuvunjika kwa mkataba kati yake na klabu hiyo ya wekundu wa msimbazi taarifa [...]
Magazeti ya leo Septemba 28,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Septemba 28,2022.
[...]
Mwamuzi pambano la Mandonga asimamishwa
Mwamuzi Habibu Mohammed aliyechezesha pambano la Karim Mandonga na Salim Abeid amesimamishwa na Chama cha Waamuzi wa Ngumi nchini kwasababu ya kucheze [...]
Utaratibu wa kuomba Samia Scholarship
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa maelekezo ya namna kuomba ufadhili wa Samia Scholarship kwa wale waliokidhi vigezo.
[...]
Orodha ya waliokidhi ufadhili wa Samia Scholarship
Hii hapa orodha ya majina ya wanafunzi waliokidhi kupata ufadhili wa Samia Scholarship.
[...]
Waziri Ummy: Bima ya Afya ni hiari siyo lazima
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ikipita itahakikisha wananchi wanapata huduma bila kikwazo lakini hakuna mtu ataka [...]
Kicheko kwa wakulima , soko la tumbaku lafunguka
Huenda wakulima watakuwa na uhakika wa soko la tumbaku baada ya wanunuzi kuongeza kiasi watakachonunua mwaka ujao wa kilimo.
Kampuni ya Japan Tobacco [...]
Magazeti ya leo Septemba 27,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Septemba 27,2022.
[...]