Author: Cynthia Chacha
Mwendeshaji mpya wa DART apatikana
Serikali inatarajia kusaini mkataba na mwendeshaji mpya wa Mradi wa Mabasi Yaendayo kwa Haraka jijini Dar es Salaam (DART) kutoka Umoja wa Nchi za Kia [...]
Namba za kupiga kuhesabiwa sensa
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022,Mheshimiwa Anne Makinda amesema asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zilikuwa zimehesabiwa hadi kufikia asubuh [...]
Magazeti ya leo Agosti 30,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Agosti 30,2022.
[...]
CCM yapongeza jitihada za Rais Samia kuiwezesha DIT
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua zinazochukul [...]
Maagizo ya Rais Samia kwa Kamishna Jenerali Mzee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtaka Kamishna Jenerali wa Magereza Mzee Ramadhan Nyamka kwenda kufanya kazi kwa [...]
Msako mifuko ya plastiki kuanza leo
Msako wa kukamata mifuko ya plastiki katika masoko jiji la Dar es Salaam unaanza leo. Wiki iliyopita Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla alitoa agizo hilo [...]
Serikali kuja na bei elekezi ya mifugo
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema serikali ipo kwenye mchakato wa kushirikisha wadau wa sekta ya mifugo kupanga bei elekezi za kuuzia [...]
Kosa la jinai kupiga picha na karani wa sensa
Serikali imeonya makarani wa sensa ya watu na makazi waache kupiga picha na wananchi wanapoifanya kazi hiyo.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk Albina C [...]
Japan kutoa Dola bilioni 30 za miradi, mazingira Afrika
Serikali ya Japan imeahidi kutoa dola za Marekani bilioni 30 (sawa na Sh 69.9 za Tanzania) kuziwezesha nchi za Afrika kutekeleza miradi ya maendeleo n [...]
Magazeti ya leo Agosti 29,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Agosti 29,2022.
[...]