Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Septemba 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Septemba 22,2022.
[...]
Tanzania na Msumbiji mambo safi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wameshuhudia utiaj [...]
Zungu awashangaa wanaolalamika tozo za miamala ya simu
Naibu Spika Mussa Azzan Zungu amewashangaa baadhi ya wananchi wanaolalamikia tozo za miamala ya simu na benki na kuachwa kuzungumzia fedha wanazokatwa [...]
Ashtakiwa kwa kununua Premio badala ya tani 60 za mahindi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limemkamata Castory Mapunda (42) anayetuhumiwa kutumia sehemu ya Sh milioni 41 alizopewa kwa ajili ya kununua mahindi t [...]
Magazeti ya leo Septemba 21,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Tanzania Jumatano Septemba 21,2022.
[...]
Hizi ndio tozo zilizofutwa na serikali
Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba amesema baada ya kupitia upya tozo za miamala ya fedha serikali imeamua kupunguza na kufut [...]
Marais wa Afrika kupakiwa kwenye basi ni dhihaka?
Na Abbas Mwalimu
(0719258484).
Jumatatu tarehe 19 Septemba, 2022.
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu viongozi wa Afrika kupakiwa kwenye usafi [...]
Magazeti ya leo Septemba 20,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Septemba 20,2022.
[...]
Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumatatu19 Sept 2022
Bonyeza Links Zifuatazo:
11 Logistics Officers at MDH
HTS & HIV Prevention Servic [...]
Afariki kwenye ajali akimkimbiza mumewe na mchepuko
Mwanamke mmoja nchini Nigeria amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari wakati akimfukuzia mumewe aliyekuwa na mwanamke mwingine kwenye gari.
K [...]