Author: Cynthia Chacha
Alilipwa hela kamili
Mapromota wa tamasha alilopaswa kutumbuiza msanii Kizz Daniel, Big Step Consultancy wamesema walimlipa mwanamuziki huyo hela kamili licha ya kugoma ku [...]
Kizz Daniel akamatwa
Staa wa muziki kutoka Nigeria @kizzdaniel amekamatwa na Polisi nchini Tanzania baada ya kugoma kutumbuiza kwenye Show licha ya kulipwa pesa nyingi.
[...]
Aamuru mwanafunzi kurudishiwa kitambulisho chake
Baada ya kutolewa kwa taarifa kuhusu mwanafunzi wa Chuo cha Seriali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) aliyekuwa akiangaik [...]
Kampuni inatafuta watu wa kulala na kuwalipa
Kampuni ya utengenezaji magodoro inayofahamika kwa jina la Casper nchini Marekani, imetangaza nafasi za kazi ya kulala usingizi kwa watu watakao kuwa [...]
Waomba radhi kutoonekana kwa Kizz Daniel
Kampuni ya inayohusika na uandaaji wa matamasha ya Str8up Vibes imeomba radhi kwa mashabiki baada ya msanii kutoka nchi Nigeria, Kizz Daniel kushindwa [...]
Kutoonekana kwa Kizz Daniel, chanzo ni begi la nguo
Sababu zilizopelekea Kizz Daniel kutokupanda kwenye jukwaa la Summer ambalo huandaliwa na kampuni ya Sre8vibes kutoka nchini Tanzania zinadaiwa kuwa n [...]
Show ya Kizz Daniel Tanzania yaingia doa
Usiku wa kuamkia leo August 8,2022 Jiji Dar es Salaam kumefanyika show ya SummerApplified ambapo msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria Kizz daniel [...]
Magazeti ya leo Agosti 8,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Agosti 8,2022.
[...]
Simba SC wapo tayari kwa ajili ya Sensa
Wachezaji wa Klabu ya Simba SC leo wakiwa katika maandalizi ya mwisho kuelekea tamasha kubwa la SIMBA DAY ambapo wanatarajiwa kucheza dhidi ya Mabingw [...]
Jezi mpya za Simba SC
Hatimaye klabu ya Simba Leo imezindua jezi zake za msimu mpya kuelekea tamasha la Simba Day kesho Agosti 8,2022 litakalofanyika Uwanja wa Benjamin Mka [...]