Author: Cynthia Chacha
Daraja la Wami kuanza kutumika Septemba 30
Daraja jipya la Wami lenye urefu wa mita 513.5 na barabara unganishi ya kilometa 3.8 litaanza kutumika Septemba 30, 2022.
Akizungumza katika ziara [...]
Magazeti ya leo Septemba 19,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Septemba 19,2022.
[...]
Rais Samia amteua Prof. Janabi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkuruge [...]
Rais Samia afanya uteuzi TIB
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. Sosthenes Laurent Kewe kuwa Mwenyeki [...]
Magazeti ya leo Septemba 18,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumapili Septemba 18,2022.
[...]
Msimamo wa Tanzania bomba la mafuta EACOP
Serikali ya Tanzania imesema ya kwamba miradi yote mikubwa inayotekelezwa nchini humo inafuata sheria na kanuni za kimataifa ikiwemo za utunzaji wa ma [...]
Rais Samia apongezwa na TUCTA kufanyia kazi vikokotoo
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu cha asilimia 33 kimelenga kumkomboa mtumishi wa u [...]
Magazeti ya leo Septemba 17,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Septemba 17,2022.
[...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Septemba 2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=n0qiBMe8MRw&list=PLqY [...]
Baada ya miaka 22 serikali yawalipa fidia
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA), imewakabidhi fedha ya fidia wananchi wapatao 50, waliokuwa wanaidai mamlaka hiyo kutokana [...]

