Author: Cynthia Chacha
Mkongo wapigwa marufuku
Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi kwa binadamu dawa aina ya Hensha maarufu Mkongo, inayomilikiwa na kituo cha [...]
Marufuku kuhubiri ndani ya mabasi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafi Ardhini (LATRA), Habibu Suluo amesema kwa mujibu wa kanuni ni marufuku kwa Wafanyabiashara na wanaohub [...]
Waliorusha picha za ajali Mtwara wasakwa
Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti amewataka mara moja wale wote waliosambaza picha za miili ya watoto wa shule ya msingi King Dav [...]
Magazeti ya leo Julai 27,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Julai 27,2022.
[...]
Ufafanuzi wa 23.3% kwenye mshahara
Msemaji Mkuu wa Serikali, Msigwa Gerson amesema leo Serikali imekutana na viongozi wa TUCTA kwa ajili ya kuwasikiliza, baada ya mazungumzo ya awali vi [...]
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Caroline Kitana Chipeta kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini [...]
Rais Samia atuma salamu za pole Mtwara
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa wafiwa waliopoteza ndugu kufuatia ajali iliyotokea Mtwara na kusababisha vifo vya watu 10 wakiwemo [...]
Ajali ya basi la shule yaua watu 10 Mtwara
Watu 10 wamefariki asubuhi hii baada ya Basi dogo la Wanafunzi (Toyota Hiace T207 CTS) la Shule ya King David Mtwara kupata ajali Mikindani Mtwara baa [...]
Amuua mkewe kisa elfu kumi
Jeshi la polisi mkoani Manyara linamshikilia Petro Basso (38) mkazi wa Gabadaw wilayani Babati mkoani Manyara kwa kosa la kumpiga mkewe Maria Sakware [...]
67.2% ya wakazi wa Dar wana uzito uliopitiliza
Utafiti wa hivi karibuni umeonyesha kwamba asilimia 67.2 ya wakazi wa Dar es Salaam wana uzito kupita kiasi huku wengi wao wakiwa ni wanywaji wa pombe [...]