Babu Tale kuwalipia tiketi wasanii 7 waliochaguliwa kuwania tuzo za AFRIMMA

HomeBurudani

Babu Tale kuwalipia tiketi wasanii 7 waliochaguliwa kuwania tuzo za AFRIMMA

Mbunge wa Morogoro Mashariki na Meneja wa Wasanii wa muziki chini ya lebo ya WCB, Hamisi Taletale ameainisha dhamira yake ya kupambania tiketi za kuwafikisha Marekani wasanii saba wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo hizo mwaka huu kwa lengo la kuleta matokeo chanya kwenye ukuaji wa muziki na Tasnia kwa ujumla.

Tale pia ameliomba Baraza la Sanaa la Taifa BASATA kushughulikia upande wa VISA kwa Wasanii hao kwani tayari wana barua za mialiko kushiriki katika hafla ya utoaji wa Tuzo hizo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Babu Tale (@babutale)

 

error: Content is protected !!