Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Agosti 27,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Agosti 27,2022.
[...]
Mambo yakufanya kama hautahesabiwa
Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao hawajahesabiwa na unafikiri unaweza usipate fursa hiyo katika muda uliopangwa wa siku saba, ondoa shaka maana kil [...]
Mapya kwenye iPhone 14
Kampuni ya Apple itazindua simu mpya ya iPhone 14 mapema mwezi ujao ambayo inatajiwa kuja na mambo mbalimbali mazuri ikiwemo kuboresho muundo na kamer [...]
Serikali imetoa bilioni 15 ununuzi wa magari ya makanda wa polisi
Serikali imetoa kiasi cha Sh bilioni 15 kwa ajili ya kununua magari ya makamanda wa polisi katika mikoa pamoja na wiliaya (OCD) ili kurahisisha utenda [...]
Magazeti ya leo Agosti 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Agosti 26,2022.
[...]
Karani akutwa amelewa Musoma
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kujaribu kukwamisha Sensa ya Watu na Makazi mjini Musoma.
Mratibu wa Sensa wa Manispaa ya Musoma, [...]
Fahamu makao makuu ya kuku Tanzania
Ni rasmi sasa Mkoa wa Tabora ndiyo unaoongoza kwa kuzalisha kuku wengi zaidi wa kienyeji Tanzania baada ya takwimu mpya kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwi [...]
Alichokiomba mtoto wa Simbachawene kwa hakimu
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, imemhukumu James Chawene (24), mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbacha [...]
Magazeti ya leo Agosti 25,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Agosti 25,2022.
[...]
Mahakama yamtoza mtoto wa Simbachawene faini laki 2
Mfanyabiashara, James Simbachawene (24) ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, amehukum [...]