Author: Cynthia Chacha
Rais Samia afanya uteuzi EWURA
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark James Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maj [...]
AfDB yaipatia Tanzania mkopo wa bilioni 175.5 kwa ajili ya wakulima
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imeipatia Tanzania mkopo wa masharti nafuu wa Dola za Marekani milioni 75 (Sh. bilioni 175.5) kusaidia upatikanaj [...]
Magazeti ya leo Agosti 19,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Agosti 19,2022.
[...]
LATRA kutoza faini 250,000
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imesema kuanzia Septemba Mosi itaanza kutoza faini ya Sh250,000 mabasi yote yatakayo kiuka sharti [...]
Rais Samia anavyoipambania lugha ya Kiswahili
Rais Samia Suluhu amewasihi wajumbe wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kutumia lugha ya Kiswahili na pia kuharakisha mchakato wa kuifany [...]
Rais Samia aridhia siku ya sensa kuwa ni mapumziko
Taarifa kutoka kwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa imeeleza kwamba Rais Samia Suluhu ameridhia siku ya sensa Agosti 23,2022 kuwa siku ya mapum [...]
Magazeti ya leo Agosti 18,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Agosti 18,2022.
[...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Agosti 17,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Agosti 17,2022. Husikubali kupitwa,
https://www.youtube.com/watch?v=78Zf- [...]
Shaka awasha moto Kaliua
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hiko hakiko tayari kuona wala kusikia mtendaji wa [...]
Magazeti ya leo Agosti 17,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Agosti 17,2022.
[...]