Author: Cynthia Chacha
Serikali yatoa tamko kuhusu ugonjwa usiofahamika
Taarifa kwa vyombo vya habari na wananchi kuhusu ugonjwa usiofahamika Mkoani Lindi
[...]
Rais wa Sri Lanka kujiuzulu leo
Spika wa Bunge nchi Sri Lanka ametangaza kwamba Rais wa Nchi hiyo atajiuzulu leo Julai 13, 2022 baada ya kutuma barua.
Akizungumza na waandishi wa [...]
Mwongozo wa kuomba mikopo
Bodi ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la mikopo kwa wanafunzi kwa mwaka 2022/23 na kutoa mwongozo wa namna ya kuomba mikopo.
[...]
Bei ya umeme kwa uniti
Waziri wa Nishati, January Makamba ametangaza Sh.1,600 kuwa bei mpya ya umeme kwa uniti, katika maeneo yanayopata huduma hiyo nje ya gridi, hasa umeme [...]
Watakaosoma Kiswahili kupewa kipaumbele mikopo
Huenda itakuwa tabasamu kwa wanafunzi wanaotarajia kusoma masomo ya lugha ikiwemo Kiswahili katika vyuo vikuu baada ya Serikali kutangaza kuyapa kipau [...]
Sababu ya matuta mengi ‘Kilwa Road’
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umesema matuta yaliyowekwa katika Barabara ya Kilwa mkoani Dar es Salaam siyo ya kudumu, bali yanalenga kupung [...]
Magazeti ya leo Julai 13,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Julai 13,2022.
[...]
Bingwa kuingiza watalii Tanzania
Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoin [...]
Fahamu sababu za kutokwa na damu puani
Kutokwa na damu puani ni hali inayotokea watu wengi hasa wakati wa utoto na uzee. Damu hii hutoa kwenye kuta za ndani za pua. Kuta hizi zimejaa miship [...]
Ugonjwa mpya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekiri kuwepo kwa ugonjwa usiofahamika ambao husababisha watu kutokwa damu puani n [...]