Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Julai 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Julai 11,2022.
[...]
Rais ajiuzulu
Spika wa Bunge la Sri Lanka Mahinda Yapa Abeywardena ametangaza jana kuwa Rais wa nchi hiyo Gotabaya Rajapaksa amekubali kujiuzulu wadhifa wake July 1 [...]
Rais Samia aguswa kifo cha Bi. Hindu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameguswa na kifo cha muigizaji nguli nchi na mtangazaji Chuma Selemani maarufu kama [...]
Rais Samia afanya uteuzi
Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Saidi Suluo kuwa Mkurungenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA).
Bwana Suluo [...]
Waziri wa Habari Sri Lanka ajiuzulu
Waziri wa Uchukuzi, Barabara na Vyombo vya Habari nchini Sri Lanka, Bandula Gunawardana ametangaz akujiuzulu katika nafasi hiyo ya uwaziri.
Bandula [...]
Harmonize amkimbiza Burna Boy
Katika albumu ya Burna Boy iliyotoka rasmi jana Julai 8,2022, hapo hapo aliachia Video ya kwanza kutoka katika Album hiyo. Video ya FOR MY HAND, Wimbo [...]
Bi Hindu afariki dunia
Muigizaji na mtangazaji Chuma Selemani maarufu zaidi kama Bi Hindu amefariki Dunia asubuhi ya leo.
Taarifa hii imethibitishwa na Mjukuu wake aliyes [...]
Kizz Daniel azomewa Marekani
Mwanamuziki kutoka Nigeria, Kizz Daniel amejikuta akizomewa na mashabiki zake nchini Marekani baada ya kuchelewa kwenye tamasha kwa takribani masaa ma [...]
TCU yafungua dirisha la udahili vyuo vikuu
Tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) imefungua dirisha la udahili kwa masomo ya shahada ya kwanza mwaka wa masomo 2022/2023, kuanzia jana Julai 8 hadi Agos [...]