Author: Cynthia Chacha

1 135 136 137 138 139 245 1370 / 2443 POSTS
Magazeti ya leo Julai 21,2022

Magazeti ya leo Julai 21,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Julai 21,2022. [...]
Rais Samia na ukombozi wa mwanamke kupitia nishati safi ya kupikia

Rais Samia na ukombozi wa mwanamke kupitia nishati safi ya kupikia

Juni 8,2021, katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Rais Samia Suluhu Hassan alionyesha wazi imani yake kubwa kwa wanawake na nia [...]
Uteuzi Ngorongoro

Uteuzi Ngorongoro

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amefanya uteuzi wa wajumbe wa Bodi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. [...]
Wadau wa Bandari waomba TICTS isiongezewe mkataba

Wadau wa Bandari waomba TICTS isiongezewe mkataba

Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara na usafirishaji [...]
Alikua anajaribu kupita magari 8

Alikua anajaribu kupita magari 8

Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana [...]
Nafazi za kazi Jeshi la Polisi

Nafazi za kazi Jeshi la Polisi

Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Regional Centre on Small Arms (RECSA)  linatangaza nafasi za kazi kama zifuatazo.     &nbsp [...]
Msuya ataka katiba ipatikane haraka

Msuya ataka katiba ipatikane haraka

Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya ameishauri Serikali kufikiria na kuona namna ya kufunga mjadala wa kupatikana Katiba mpya ili watu wajenge taifa bad [...]
Matumizi ya trilioni 2.4 za IMF

Matumizi ya trilioni 2.4 za IMF

Wizara ya Fedha na Mipango, imesema trilioni 2.4 zilizoidhinishwa na Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) ni kutokana na utendaji kazi wa Rais Samia Su [...]
Rais Samia afanya uteuzi TAWA na TALIRI

Rais Samia afanya uteuzi TAWA na TALIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi ufuatao; [...]
Magazeti ya leo Julai 20,2022

Magazeti ya leo Julai 20,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Julai 20,2022. [...]
1 135 136 137 138 139 245 1370 / 2443 POSTS
error: Content is protected !!