Author: Cynthia Chacha
Fahamu madhara ya kukaa kwenye kiti muda mrefu
Wafanyakazi wanaokaa kwenye viti muda mrefu ofisini, wapo hatarini kuvimba miguu kutokana na kubana mishipa ya damu.
Wanashauriwa kujenga tabia ya [...]
Majaliwa akagua daraja la mawe
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Julai 17, 2022 amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu [...]
Magazeti ya leo Julai 18,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Julai 18,2022.
[...]
Tanzania 5 bora uzalishaji wa mionzi dawa
Tanzania ni kati ya nchi tano Afrika na ni nchi pekee Afrika Mashariki inayozalisha mionzi dawa.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri na Mbunge wa jimbo [...]
Wito wa Waziri Bashe kwa wakulima wa tumbaku
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewakata wakulima wa zao la Tumbaku nchini kujitokeza kwa wingi Kulima zao hilo kutokana na mpango wa sasa wa Serikali [...]
Mbaroni kwa kuuza jezi za feki za Simba na Yanga
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikiria Said Furaha (31) kwa tuhuma za kukutwa na jezi feki za timu za Simba na Yanga dazani 296.
Kamanda wa Poli [...]
Epuka matumizi ya mate wakati wa kujamiiana
Wakati matumizi ya mate yakiwa maarufu kwa wengi wakati wa kujamiiana, hasa yanapotumika kama aina fulani ya kilainishi hasa ukeni na hivyo kuleta lad [...]
Waziri Ummy: Sio Ebola, Maburg wala Uviko-19
Wakati timu ya wataalamu kutoka nje ikitarajiwa kuanza uchunguzi kubaini ugonjwa usiojulikana Lindi, Wizara ya Afya imesema sampuli za vipimo vya maab [...]
Mama amuua binti yake
Mama na mwanaye wa kiume wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kumuua binti wa kumzaa wa mama huyo.
Was [...]
Magazeti ya leo Julai 16,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Julai 16,2022.
[...]