Author: Cynthia Chacha
Bei ya mafuta kushuka
Ingawa bei za mafuta zimeendelea kupanda hapa nchini, matumaini ya kushuka kwa bei za mafuta ghafi katika soko la dunia yameanza kuonekana.
Taariff [...]
Magazeti ya leo Julai 7,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Julai 7,2022.
[...]
Dirisha la maombi ya mikopo kufunguliwa
Ikiwa imepita siku moja tu tangu kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha sita mwaka 2022, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) i [...]
Fedha za Uviko zaingiza shule 10 bora
Ilikua vigumu sana kwa watu wengi kuelewa uamuzi uliochukuliwa na Rais Samia Suluhu juu ya fedha za mkopo zilizotolewa na IMF za mapambano dhidi ya Uv [...]
Waziri Ummy: Corona bado ipo
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Watanzania wanapaswa kuendelea kuchukua tahadhari kuepuka kuambukizwa virusi vya corona vinavyosababishwa na ugon [...]
Mauzo ya nyama nje yapaa
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesema ndani ya miezi sita mwaka huu Tanzania imeuza nyama tani 10,000 katika nchi za Bara la Asia na kuvunja rekodi ya mwa [...]
Raia 57 wa Kenya wanaswa katika operesheni ya Loliondo
Operesheni Maalum ya siku 10 iliyofanywa na Jeshi la Uhamiaji katika Tarafa za Sale na Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha, imewanasa watu 72 w [...]
Magazeti ya leo Julai 6,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Julai 6,2022.
[...]
Hizi hapa Bei mpya za mafuta
Hizi hapa bei mpya za mafuta kwa Tanzania .
[...]
Rais Samia akemea mila potofu
Rais Samia Suluhu Hassan, ameitaka jamii kupiga vita ubakaji pamoja na mila potofu zinazohalalisha ndoa za utotoni,.
Pia amewataka watumishi wa afy [...]