Author: Cynthia Chacha
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 29,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Ijumaa Aprili 29,2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch? [...]
Kili Paul avamiwa na watu wasiojulikana
Kili Paul maarufu kama Mmasai wa Tiktok amevamiwa na watu wasiojulika waliokua wamebeba silaha kama mapanga na visu ambapo walimjeruhi wakati akijari [...]
Tulia aonya mawaziri teuzi za mabalozi
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewasihi mawaziri kuzingatia vigezo pindi wanapochagua mabalozi wa wizara zao, na sio kuwachagua kwa sa [...]
Mo Salah aibuka mchezaji bora
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amechaguliwa kuwa Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Soka kwa 2021/22.
Salah, 29, amechangia [...]
Zelensky: Naomba kuhutubia Muungano wa Afrika
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa ombi jipya la kutaka ahutubie wakuu wa mataifa ya Muungano wa Afrika (AU), kulingana na Kamishna wa AU, Mous [...]
Rais atatimiza ahadi yake Mei Mosi?
Macho na masikio ya wafanyakazi wa umma na sekta binafsi yataelekezwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi sherehe za Mei Mosi [...]
Tanzania kuomboleza siku 2 kifo cha Mwai Kibaki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametangaza siku mbili za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Hayati Rais Mstaaf [...]
Magazeti ya leo Aprili 29,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa 29,2022.
[...]
Mambo 5 ya kufanya kwenye gauni la harusi
Gauni lako la harusi ni nzuri sana hivi kwamba unatamani ungeivaa kila wikendi! Kwa bahati mbaya, huwezi.
Nguo hiyo hakika ni ya kupendeza kwa moyo [...]
CCM yakubali deni
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Tiwtter, kimetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu madai ya wakandarasi dhidi ya Uhuru [...]