Author: Cynthia Chacha

1 184 185 186 187 188 263 1860 / 2624 POSTS
Bilioni 100 za Samia za shusha bei ya mafuta

Bilioni 100 za Samia za shusha bei ya mafuta

Hatimaye ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye kulifanyia kazi suala la mfumuko wa bei ya mafuta imekamili [...]
Mwijaku ashinda kesi

Mwijaku ashinda kesi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Mei 31 imemwachia huru Mwemba Burton maarufu Mwijaku ambaye alikuwa anakabiliwa na shtaka la kusambaza picha za n [...]
Pablo atemwa na Simba

Pablo atemwa na Simba

Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco Martin. Katika kipindi chake koc [...]
Sabaya bado sana

Sabaya bado sana

Hukumu ya Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake imeahirishwa hadi Juni 10, 2022,hii [...]
Maelekezo ya Rais Samia kwa Wizara ya Nishati

Maelekezo ya Rais Samia kwa Wizara ya Nishati

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema Rais Samia Suluhu ameielekeza wizara hiyi kuhakikisha ujenzi wa mradi wa bomba la gesi kuto [...]
Rais Samia apongezwa na kaya masikini

Rais Samia apongezwa na kaya masikini

Wananchi mkoani Lindi jimbo la Mchinga wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya awamu ya sita kwa ujumla jinsi anavyoonesha kwa vitendo ku [...]
Magazeti ya leo Mei 31,2022

Magazeti ya leo Mei 31,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Mei 31,2022. [...]
Aliyeua ajiua

Aliyeua ajiua

Said Oswayo anayedaiwa kumuua kwa kumpiga risasi kadhaa mke wake Swalha Salum (28) naye amekutwa amejiua kwa kujipiga risasi. Kaimu Kamanda wa Poli [...]
Mashine za kuhesabu magari kufungwa barabarani

Mashine za kuhesabu magari kufungwa barabarani

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), inawatangazia wananchi na wadau wote usafirishaji kuwa inaendelea na maboresho katika miundombinu ya barabara [...]
Tahadhari juu ya bei ya sukari duniani

Tahadhari juu ya bei ya sukari duniani

Bei ya sukari inatarajiwa kupanda kutokana na vikwazo vya kuuza nje na mataifa kadhaa muhimu yanayozalisha bidhaa zinazotaka kudhibiti kupanda kwa bei [...]
1 184 185 186 187 188 263 1860 / 2624 POSTS
error: Content is protected !!