Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Juni 7,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Juni 7,2022.
[...]
Mradi mkubwa Tanzania
Tatizo la uhaba wa maji huenda likawa historia katika miji 28 nchini Tanzania ukiwemo Muheza mkoani Tanga pale utakapokamilika mradi wa maji katika m [...]
Sababu 5 za chunusi matakoni
Kuna makosa kadhaa ambayo unaweza kuwa unafanya unaposhiriki katika mambo fulani ya kufurahisha au kuvaa aina fulani za nguo ambazo zinaweza kutoa chu [...]
Kiswahili ni silaha
Lugha ya Kiswahili ni silaha ya taifa letu, imekuwa ya kwanza kutoka Bara la Afrika kutambuliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Ut [...]
Mikoa 3 inayoongoza kwa kelele
Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (NEMC) imetaja mikoa mitatu inayoongoza kwa malalamiko ya kelele kuwa ni Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma na ku [...]
500,000 ikifichua wezi miundombinu ya umeme
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), limetangaza zawadi ya sh. 500,000 kwa mwananchi atakayefichua wezi wa miundimbinu ya umeme.
Shirika hilo limese [...]
Meneja mpya wa Konde Gang
Mmoja wa viongozi wa lebo ya Konde Gang, Chopa kupitia ukurasa wake wa Instagram amemtambulisha muigizaji Kajala Masanja kama meneja wa lebo hiyo inay [...]
Shaka akerwa na danadana Mtwara
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amekerwa na danadana zinazoendelea katika kupata utatuzi wa mgo [...]
Marufuku kusafirisha wanyamapori
Waziri wa Maliasi na Utalii Pindi Chana ameagiza kusitishwa mara moja kwa usafirishaji wa wanyamapori nje ya nchi kama ambavyo ilitangazwa juzi na Kam [...]
Magazeti ya leo Juni 6,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Juni 6,2022.
[...]

