Author: Cynthia Chacha

1 190 191 192 193 194 276 1920 / 2751 POSTS
Wachochezi bei ya umeme na Loliondo wasakwa

Wachochezi bei ya umeme na Loliondo wasakwa

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema serikali imesema itawashitaki waliohamasisha wananchi wafanye vurugu Loliondo na wanaopotosha kuhusu h [...]
Mtanzania amtwanga Mjerumani kwa TKO

Mtanzania amtwanga Mjerumani kwa TKO

Bondia Mtanzania anayeishi nchini Sweden Awadhi Tamim amemtwanga Bondia Shkelqim Ademaj wa Ujerumani kwa TKO katika pambano la raundi 10 lililofanyika [...]
Magazeti ya leo Juni 13,2022

Magazeti ya leo Juni 13,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Juni 13,2022. [...]
Nchi 10 za Afrika zenye shida ya upatikanaji wa umeme

Nchi 10 za Afrika zenye shida ya upatikanaji wa umeme

Kabla ya kufunua orodha, ni muhimu kuzingatia mambo machache. Kwanza, bara la Afrika kwa sasa lina ufikivu mbaya zaidi wa umeme duniani. Na changamoto [...]
Askari auawa kwa mshale Ngorongoro

Askari auawa kwa mshale Ngorongoro

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amewataka wananchi Wa Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro Kuwa watulivu na kusikiliza maelekezo ya serika [...]
Rais Samia aliwaza mbali nyongeza ya mishahara

Rais Samia aliwaza mbali nyongeza ya mishahara

Mei 14,2022 , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alitimiza ahadi yake ya kuongeza mishahara kwa kutangaza kima cha chin [...]
Ngorongoro mambo safi

Ngorongoro mambo safi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu ametoa fedha kukamilisha mchakato wa wananchi kuhama kutoka Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomer [...]
Justin Bieber apooza uso

Justin Bieber apooza uso

Msanii kutoka nchini Canada, Justin Bieber ameweka video fupi Kwenye ukurasa wake wa Instagram akieleza wazi kwamba amesitisha show zake kutokana na u [...]
Magazeti ya leo Juni 11,2022

Magazeti ya leo Juni 11,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Juni 11,2022. [...]
Ukweli kuhusu wakazi wa  Ngorongoro

Ukweli kuhusu wakazi wa Ngorongoro

Serikali  imesema wananchi wa maeneo ya Loliondo wapo salama ikibainisha kuwa “hakuna mapambano yoyote” kati ya polisi na wakazi hao wa kaskazini mwa [...]
1 190 191 192 193 194 276 1920 / 2751 POSTS
error: Content is protected !!