Author: Cynthia Chacha
SIMBA SC: Tunaomba Ulinzi
Klabu ya soka ya Simba imetoa taarifa kusikitishwa na kile wanachodai kuwa ni shutuma zilizotolewa na Kocha Msaidizi wa timu ya Orlando Pirates Mandla [...]
ACT- Wazalendo kooni mwa TAMISEMI
Ofisi ya Msemaji wa Kisekta wa Chama cha ACT- Wazalendo ikiongozwa na Bi. Kulthum J. Mchuchuli, imetoa maoni kuhusu hotuba ya bajeti ya TAMISEMI iliyo [...]
Afariki akiigiza filamu ya Yesu
Mwanafunzi wa Chuo cha Seminari cha Clariantian University nchini Nigeria, Suel Ambrose amedondoka na kufariki akiwa anaigiza filamu ya Yesu maarufu k [...]
Air Tanzania yatoa tamko
Shirika la ndege la Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa limesitisha safari zake kuelekea uwanja wa ndege wa Chato, Geita sababu [...]
Zainab ammwagia mtu uji Zanzibar
Mkazi wa Mtaa wa Zanzibar, Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Adamu Mohammed ameliomba Jeshi la Polisi limkamate mama mzazi wa mkewe, Zainab Ally kwa ma [...]
Magazeti ya leo Aprili 19,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Aprili 19,2022.
[...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Aprili 18,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatatu Aprili 18,2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watc [...]
Aliyekuwa Meya wa Moshi ang’oa misaada yake
Juma Raibu aliyekuwa Meya Mstahiki wa Manispaa ya Moshi ambaye hivi karibuni aling’olewa wadhifa huo ameamua kwenda kung’oa misaada aliyowahi kuitoa k [...]
Filamu ya Royal Tour jijini New York leo
Filamu ya Royal Tour inayozinduliwa leo jijini New York, nchini Marekani ambayo mhusika mkuu ni Rais Samia Suluhu Hassan, inakwenda kuitangaza Tanzani [...]