Author: Cynthia Chacha
iPhone 13 kuanza kutengenezwa India
Kampuni ya Apple imesema kwamba sasa simu zao aina ya iPhone 13 zitaanza kuzalishwa nchini India.
Apple imekuwa ikihamisha baadhi ya maeneo ya ute [...]
Mkwere apewa mtaa
Wakati zoezi la kuweka vibao vya majina ya mitaa nchini likiendelea, mchekeshaji kutoka kundi la Mizengwe, Hemedi Khalidi Maliaga maarufu kama Mkwere [...]
GAIRO: Madarasa 12 ya Samia yavunjwa vioo
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Jabir Makame amemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari Kibedya, wilayani humu, Kelvin Kayombo ili kupisha uchunguzi baada [...]
WAKE: Tuna haki ya kwenda Dubai kama michepuko
Kikundi cha wanawake jijini Kampala wamefanya maandamano asubuhi hii ya leo tarehe 11 mwezi Aprili wakishinikiza wanaume zao kuwaongezea kiwango cha p [...]
Wananchi Ngorongoro wakubali kuhama
Wananchi wanaoishi ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wamesema kupata haki miliki ya nyumba ndani ya mamlaka hiyo ni ndoto hivyo ni vema kuhamia en [...]
Magazeti ya leo Aprili 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Aprili 11, 2022.
[...]
TMDA: Marufuku sigara hadharani
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema ni kosa kisheria kuvuta sigara hadharani au kwenye maeneo ya mikusanyiko na atakayebainika kufanya hivyo [...]

50 Cent: Mmefanyia vibaya Will Smith
Rapa kutoka nchini Marekani Curtis James Jackson III maarufu kama 5O cent amemkingia kifua Muigizaji Will Smith kutokana na adhabu aliyopewa kwa kusem [...]
Magazeti ya leo Aprili 10,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumapili Aprili 10,2022.
[...]
Faida 5 za kujamiiana asubuhi
Huwenda umeshawahi kusikia kuhusu umuhimu wa kushiriki tendo la ndoa asubuhi na ukashangaa lakini ni kweli kuna faida za kufanya tendo hilo kwa afya y [...]