Author: Cynthia Chacha
Video zinazo-trend Youtube Aprili 9,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumamosi Aprili9,2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch? [...]
Mambo 5 ya kufanya wikiendi
Baada ya kufanya kazi kwa muda wa siku tano mfululizo, watu wengine hupenda kupumzika siku ya jumamosi na jumapili ili kuondoa uchovu wa wiki nzima.
[...]
Miriam Odemba: Kajala akamatwe
Mwanamitindo na Mshindi wa taji la Miss East Africa 1998, Miriam Odemba amemkingia kifua Harmonize na kuwaomba Watanzania na polisi kuingilia kati sua [...]
Nauli kutoka 450 mpaka 900
Wadau wa Sekta ya Usafiri Ardhini (Latra) imependekeza kupanda kwa nauli kutoka 450 mpaka 900 kwa kila kilomita ambapo Mamlaka ya uthibiti wa Usafiri [...]
Rais Samia aibuka kinara
Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa mshindi wa tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 baada ya viongozi na watu mashuhuri kutambua mchango wake katika [...]
Zitto aikosoa ramani ya EAC
Mwenyekiti wa ACT, Zitto Kabwe ameikosoa ramani mpya ya Umoja wa nchi za Afrika Mashariki kwa kusema kwamba haijakamilika kwa kukosekana Zanzibari.
[...]
Aliyeimba ‘Ekwueme’ afariki dunia
Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sis Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake "Ekwueme" amefariki dunia akiwa na umri wa miaka [...]
Ubongo Kids yatangaza ajira
Position: Broadcast Manager
Organization Summary:
UBONGO is Africa’s leading producer of kids’ edutainment. As a non-profit social enterprise, we cr [...]
Magazeti ya leo Aprili 9,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Aprili 9,2022.
[...]
Madhara ya bangi ukeni
Watu wengi huvuta bangi kabla ya kuanza kushiriki tendo la ndoa wakidhani kwamba kufanya hivyo kuna waongezea hamu zaidi ya kufurahia tendo hilo lakin [...]