Author: Cynthia Chacha

1 195 196 197 198 199 223 1970 / 2227 POSTS
Meena Ally alia na kifo cha rapa RickyRic

Meena Ally alia na kifo cha rapa RickyRic

Mtangazaji wa redio ya Clouds kutoka nchini Tanzania, Meena Ally ameonyesha kuguswa na kifo cha rapa kutoka Afrika Kusini RickyRic aliyekutwa amefarik [...]
TANAPA yasikia kilio cha Hanscana, Lavalava na Mbosso 

TANAPA yasikia kilio cha Hanscana, Lavalava na Mbosso 

Baada ya mtayarishaji wa video nchini Hanscana kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram changamoto anazopata pindi aendapo kufanya kazi zake kwenye v [...]
Diamond, Harmonize kukinukisha Machi 4

Diamond, Harmonize kukinukisha Machi 4

Mahasimu wawili kwenye muziki wa bongo fleva nchini Tanzania Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rajabu Abdul ‘Harmonize’ wanatarajia kuonyeshana mabav [...]
Maombi ya Rais Samia kwa viongozi wa dini nchini

Maombi ya Rais Samia kwa viongozi wa dini nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameeleza kukerwa na mauaji yanayoendelea nchini na kusema serikali inalaani matendo [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Februari 22,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Februari 22,2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa, https://www.youtube.com/watch?v=j3kDvCgCG0Y&list=PLq [...]
Tozo yawaliza Hanscana, Lavalava na Mbosso

Tozo yawaliza Hanscana, Lavalava na Mbosso

Mtayarishaji wa video nchini Hanscana amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu changamoto za tozo kubwa wanazokutana zao pindi wakitaka kuf [...]
Harmonize aitwa wokovuni

Harmonize aitwa wokovuni

Mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu Dr.GeorDavie  kutoka Arusha ameupiga na kuucheza wimbo wa 'Mwaka Wangu' uliombwa na msanii wa Bongofleva na mmiliki wa le [...]
Nape atatua mzozo wa matangazo ya bunge kurushwa

Nape atatua mzozo wa matangazo ya bunge kurushwa

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameweka wazi hatima ya suala ya matangazo ya Bunge kurushwa mubashara lina haja ya [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 19,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 19,2022

Hizi hapa video zinafanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Februari 19, 2022. Husikubali kupitwa. https://www.youtube.com/watch?v=j3kD [...]
1 195 196 197 198 199 223 1970 / 2227 POSTS
error: Content is protected !!