Author: Cynthia Chacha
Bilionea namba moja Afrika Mashariki
Tanzania imeipiku Kenya kwa kutoa mfanyabiashara bilionea katika sekta binafsi ikiwa ni kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2022 iliyotolewa na Kampuni ina [...]
TLS: Watumishi wa umma wasisimamie uchaguzi
Chama cha Wanasheria Tannganyika (TLS) kimependekeza uwekwe utaratibu unaozuia watumishi wa umaa kusimamia uchaguzi pamoja na kuwepo kwa utaratibu wa [...]
Magazeti ya leo Aprili 30,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Aprili 30,2022.
[...]
Punyeto huleta kipara kwa wanaume
Kupiga punyeto ni jambo la kawaida. Ni njia ya asili na salama kiasi ya kuchunguza mwili wako, kujisikia raha, na kuondoa mvutano wa ngono uliojengeka [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 29,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Ijumaa Aprili 29,2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch? [...]
Kili Paul avamiwa na watu wasiojulikana
Kili Paul maarufu kama Mmasai wa Tiktok amevamiwa na watu wasiojulika waliokua wamebeba silaha kama mapanga na visu ambapo walimjeruhi wakati akijari [...]
Tulia aonya mawaziri teuzi za mabalozi
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewasihi mawaziri kuzingatia vigezo pindi wanapochagua mabalozi wa wizara zao, na sio kuwachagua kwa sa [...]
Mo Salah aibuka mchezaji bora
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amechaguliwa kuwa Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Soka kwa 2021/22.
Salah, 29, amechangia [...]
Zelensky: Naomba kuhutubia Muungano wa Afrika
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa ombi jipya la kutaka ahutubie wakuu wa mataifa ya Muungano wa Afrika (AU), kulingana na Kamishna wa AU, Mous [...]
Rais atatimiza ahadi yake Mei Mosi?
Macho na masikio ya wafanyakazi wa umma na sekta binafsi yataelekezwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi sherehe za Mei Mosi [...]

