Author: Cynthia Chacha
Ukweli kuhusu ‘Monkeypox’ Tanzania
Wizara ya Afya Tanzania imesema hayupo wala hajawahi kuwepo Mgonjwa wa homa ya nyani Nchini Tanzania (Monkeypox) lakini hata hivyo imetaka Watu wote k [...]
Kim Jong-un bila barakoa
Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un ameonekana akihudhuria mazishi ya afisa mkuu wa Korea Kaskazini akiwa hajavaa barakoa licha ya kuwa nchi hiyo ipo [...]
Rais Samia ang’ara tena kimataifa
Kwa mujibu wa jarida la TIME 100, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu ametajwa katika orodha ya viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa d [...]
Magazeti ya leo Mei 24,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Mei 24,2022.
[...]
Fahamu Ukweli kuhusu Monkeypox
Hivi karibuni zaidi ya watu 80 katika takriban nchi 12 za Ulaya wameambukizwa na Homa ya nyani.
Kesi ya kwanza iliyoripotiwa nchini Uingereza ilik [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube le Mei 23,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatatu Mei 23,3022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch?v [...]
Museveni : Kuleni mtama na mihogo
Hotuba ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuhusu kupanda kwa bei ya bidhaa haikutoa ahueni kwa mamilioni ya Waganda ambao wako kwenye ukingo wa kutumbu [...]
Mbunge mwingine alia bungeni
Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa amemwaga machozi bungeni wakati akieleza kuwa Kampuni ya Syno Hydro iliyopopewa zabuni ya kujenga barabara ya mwen [...]
Sababu ya Mbunge kuruka sarakasi bungeni
Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay ameruka sarakasi bungeni ikiwa ni kuonyesha msisitizo wa hoja yake kuwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imek [...]
Zuchu apata ajali
Msanii wa muziki wa bongo fleva kutokea lebo ya WCB, Zuchu amepata ajali iliyomsababishia majeraha katika goti lake.
Kupitia ukurasa wake wa Instag [...]

