Author: Cynthia Chacha
Waiba jeneza msikitini
Watu wasiojulikana katika kijiji cha Rivango, kata ya Mchauru, wilayani Masasi mkoani Mtwara, wamevunja mlango wa msikiti na kuiba jeneza linalotumika [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Machi 8, 2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Machi 8, 2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=BRsoOKd [...]
Rais Samia na fursa za uchumi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali inajipanga kukabiliana na changamoto za kiuchumi zinazosababishwa na jang [...]
Zungu amuahidi Samia urais 2025
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azan Zungu amemtaka Rais Samia Suluhu kutokuwa na wasiwasi kuhusu uchaguzi Mkuu ujao wa [...]
Mayele ampa mtoto bao
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Mayele amesema bao alilofunga kwenye mechi ya Ligi Kuu juzi kati ya timu yake na Geita Gold amempa zawadi mtoto [...]
Sabaya atemwa
Wakili aliyekuwa akisimamia na kumtetea aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (35) na wenzake 6 amejitoa katika k [...]
Pasha afariki vitani
Muigizaji maarufu kutoka nchini Ukraine, Pasha li (33) amefariki akiwa vitani baada ya kushambuliwa na wanajeshi wa jeshi la Urusi katika mji wa Irpin [...]
Ukraine na Urusi zaungana
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa hatua za awali zakuhakikisha wanafunzi wakitanzania wa [...]
Samia atimiza ahadi yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inafanya jitihada ya kuweka mazingira rafiki ya kufundishia na kujif [...]
Diamond aachia #FOA
Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond Platnumz ametoa kirefu cha jina la EP yake 'FOA' kwamba ni 'First Of All' kupitia ukurasa wake wa instagr [...]