Author: Cynthia Chacha
Diamond:Nina mtoto Mwanza
Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz, amekiri kuwa mtoto mwingine jijini Mwanza ukiachilia mbali wato [...]
Waliofariki ajali ya Morogoro kulipwa
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) imesema waathirika wote wa ajali iliyotokea mkoani Morogoro hivi karibuni na kusababisha vifo vya watu 23 [...]
BASATA: hawakuomba kushiriki
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa ufafanuzi wa kwanini wasanii kutoka lebo ya Wasafi inayomilikiwa na Diamond Platumz kutoonekana kwenye kipen [...]
TMDA: Marufuku sigara hadharani
Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) Kanda ya Kati, Sonia Mkumbwa ameeleza kuwa watumiaji wa bidhaa za Tumbaku watatakiwa kut [...]
Mama Janeth Magufuli atoa misaada
Mama Janeth Magufuli, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Magufuli, amesema ataendeleza utamaduni waliyojiwekea yeye na marehemu m [...]
Mbowe: Niliyoteta na Rais
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amewaeleza na kuweka wazi waandishi wa habari mambo makuu matatu aliyozungumz [...]
MGM yaungana na Amazon studios
Amazon imefunga rasmi jana Mach 17,2022 mkataba wake wakuinunua kampuni ya MGM kwa kiasi cha fedha dola bilioni 8.5 na kusema kwamba hakuna mfanyakaz [...]
Romy Jons aomba msamaha
Dj na kaka wa msanii Diamond Platnumz, Romy Jons amewaomba radhi mashabiki zake, marafiki , mashabiki , mke wake na Watanzania kwa ujumla kwa yale yan [...]
Ahadi ya Samia kwa Wananchi wa Chato
Rais Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi wa Chato mkoani Geita kwamba miradi iliyopangwa itakamilishwa ikiwemo kivyuko cha Chato cha ‘Hapa Kazi Tu [...]
Brazen: Maneno yenye uhalisia
Filamu ya “Brazen” inamuhusu mwanamama Grace Miller ambaye ni nyota maarufu wa vitabu vya simulizi nchini Marekani. Simulizi zake zilizobeba visa vya [...]