Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Mei 9,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Mei 9,2022.
[...]
Panya Road wasimulia wanavyoiba
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeendelea kuisimamia operesheni maalum kali na msako wa mtaa kwa mtaa dhidi ya vijana wanaojihusisha n [...]
Hali ya Corona nchini
Wizara ya Afya inaendelea kutoa taarifa kwa umma kuhusu hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini. Itakumbukwa kuwa ugonjwa huu ulitolewa taarifa kwa mara ya [...]
Diamond: Najiuliza kuna baya lolote
Baada ya Zuchu kujibu barua ya TCRA na BASATA kuhusu kufungiwa kwa video ya 'Mtasubiri', Diamond Platnumz naye amefunguka na kueleza kwamba haoni kosa [...]
Zuchu awajibu BASATA
Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram, Msanii kutoka lebo ya Wasafi, Zuchu amewajibu BASATA kuhusu video ya wimbo wake pamoja na Diamond kufungia k [...]
WAKAZI: Wakristo tuache unafki
Msanii wa Hip Hop kutoka nchini Tanzania, Wakazi ameonyesha kusikitishwa na kitendo cha TCRA kuifungia video ya wimbo wa 'Mtasubiri" ya Diamond na Zuc [...]
Kushuka kwa bei za vyakula
Huenda maumivu ya kupanda kwa bidhaa Tanzania yakapungua siku za hivi karibuni baada ya wataalam wa uchumi kueleza kuwa bei za vyakula duniani zilishu [...]
Nauli mpya kutumika rasmi
Mkurugenzi wa Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini(LATRA) Johansen Kahatano amesema kulingana na hali halisi ya upandaji wa bei za mafuta, bei mpya za nauli [...]
Magazeti ya leo Mei 7,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Mei 7,2022.
[...]
Ashtakiwa kwa wizi wa mbegu za kiume
Mahakama moja magharibi mwa Ujerumani ilimpata mwanamke mmoja na hatia ya unyanyasaji wa kijinsia na kumpa kifungo cha nje cha miezi sita kwa kuharibu [...]

