Author: Cynthia Chacha
Miss Ukraine 2015 abaki kupigana vita na Urusi
Miss Ukraine mwaka 2015, Anastasia Lena ameamua kubaki nchini humo na kujiunga na jeshi la Ukraine ili kupigana vita iliyoanzishwa na Urusi tangu juma [...]
Jux na zawadi hii kwa mashabiki
Msanii na mmiliki wa lebo ya African Boy, Juma Jux ameahidi kutoa zawadi ya fedha kiasi cha shilingi laki moja kwa shabiki atakaye weza kuotea tarehe [...]
Wema Sepetu alamba dili lingine
Muigizaji kutoka nchini Tanzania, Wema Sepetu amelamba dili lingine la kuwa balozi wa kampuni ya Dar Ceremica Center Inayojihusisha na vifaa vya ujenz [...]
Rais Samia afungua milango ya uwekezaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaalika wawekezaji wa Dubai kuja kuwekeza nchi huku akiwahakikishia mazingira mazu [...]
Munalove atamani uislamu
Mjasiriamali kutoka nchini Tanzania na mmiliki wa Patrick Foundation, Munalove ameonyesha nia yakutaka kubadili dini yake na kuhamia kwenye usilamui b [...]
Imani za uongo tuziwahi kuambiwa ni zakweli
Kukua katika miaka ya 90 ilikuwa ya kutisha sana. Hatuwezi kusahau sinema kuhusu mauaji ya kiibada ambazo zilikuwa kama filamu za kutisha na mambo men [...]
Wema Sepetu amkana Aristotee hadharani
Muigizaji kutoka nchini Tanzania, Wema Sepetu amekataa kumuongelea mfanyabiashara Aristotee na kusema kuwa hana faida kwenye maisha yake hivyo hawezi [...]
Mapendekezo ya ACT-Wazalendo juu ya watanzania waishio Ukraine
Chama cha ACT Wazalendo kimeimba serikali ya Tanzania wakishirikiana na Wizara ya Mambo ya nje kutuma ndege itakayoweza kuwafuata watanzania waliopo n [...]
Taarifa: Hali ya watanzania waishio Ukraine
Wizara ya Mmabo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Serikali ya Tanzania imetoa taraifa kwamba mpaka sas ahakuna mtanzania aliyepata m [...]
Mambo ya kutarajia baada ya kutoa bikira
Mtu bikira ni yule ambaye kizinda chake hakijavunjwa au hajawahi shiriki tendo la ndoa. Zamani ilikuwa ni jambo zuri pale mwanaume anapooa au kumkuta [...]