Author: Cynthia Chacha
MovieFriday: Cryano
Filamu hii inaanza na mwanadada Roxane na unaweza kumwelezea binti huyo kama mwali anayevunja shingo za wanaume wote anaopishana nao.
Relax, sio m [...]
Tazama video zinazo-trend Youtube Februari 24,2022
Hizi hapa video zinalizofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa,
https://www.youtube.com/watch?v=BRsoOKdmKic&list=P [...]
Monalisa amlilia mtoto wake aliye Ukraini
Muigizaji wa filamu nchini, Yvonne Cherrie maarufu kama Monalisa ameeleza hali anayopitia kwa sasa wakati mtoto wake yupo nchini Ukraine kwa masomo.
[...]
Mwanafunzi aandika barua ya kuacha shule
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msimbati, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Taufiki Salumu Hamisi ameandika barua yakuacha shule baada ya kuchaguli [...]
Onyo la Rais wa Urusi, Putin kwa dunia
Chombo cha habari cha Time kimeripoti ujumbe wa Rais wa Urusi, Vladimir Putin alivozionya nchi nyingine kwamba jaribio lolote la kuingilia hatua ya Ur [...]
Dunia ya guswa na shambulio la Urusi dhidi ya Ukraini
Operesheni maalumu ya kijeshi ya ya Rais wa Urusi Vladimir Putin mashariki mwa Ukraine imelaaniwa haraka na mataifa kadhaa.
Shambulio hilo wakati h [...]

Jela miaka 60 baada ya kumbaka mama miaka 56
Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela, Daudi Samson (22) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwana [...]
Fahamu njia rahisi za kunywa maji
Njia moja wapo ya kutunza afya yako ni kwa kunywa maji kwani husaidia kumeng’enya chakula pamoja na kupunguza uzito wa mwili. Lakini katika kufanya hi [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Februari 23, 2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Februari 23,2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=BRso [...]
Meena Ally alia na kifo cha rapa RickyRic
Mtangazaji wa redio ya Clouds kutoka nchini Tanzania, Meena Ally ameonyesha kuguswa na kifo cha rapa kutoka Afrika Kusini RickyRic aliyekutwa amefarik [...]