Author: Cynthia Chacha
Tanzania kutoshiriki Miss World 2021
Mwakilishi wa Tanzania Juliana Rugamisa hatoweza kwenda kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya urembo wa dunia mwaka 2021 sababu z [...]
Ngono inavyoweza kuimarisha afya ya akili
Tatizo la afya ya akili limekua likiongezeka kwa kasi hususani kwa vijana, Watu wachache hugundua kuwa wana matatizo ya afya ya akili lakini kwa sehem [...]
Faida za kiafya za kulala uchi
Ikiwa bado hujawahi lala uchi, inaweza kuwa wakati wa kujaribu sasa. Makala hii itaeleza jinsi kulala uchi kunavyoweza kukusaidia kupata pumziko bora, [...]
Wasanii wa Bongo mjifunze kwa Wizkid
Mwaka 2021 umekuwa ni wa baraka sana kwa nyota kutoka nchini Nigeria Wizkid kwani ngoma yake ya ‘ Essence’ imekuwa ikipasua miamba ya dunia kwa kusiki [...]
Mwanafunzi abakwa, atobolewa macho na Kuuwawa
Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maendeleo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Zinati Alifa mkazi wa mtaa wa Mchema mwenye umri wa mia [...]
Mwanamke aliyemshtaki daktari wa mama yake kwa kuzaliwa ashinda kesi
Mwanamke ambaye alimshtaki daktari wa mama yake akidai kwamba hakupaswa kuzaliwa ameshinda kesi na kutakiwa kulipwa mamilioni ya fidia. Evie Toombes, [...]
Magazeti ya leo Desemba 2, 2021
Habari Za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Desemba 2, 2021. [...]
Tazama video zinazo-trend Youtube leo Desemba 1, 2021
Hizi hapa video zinazopeta katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Desemba 1, 2021. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=3GHmlVDSRPA& [...]
Ugonjwa wa wanawake kuota nywele kifuani na usoni
Baadhi ya wanawake wamekua na nywele maeneo ya kifua na usoni. Kitaalamu hii hali huitwa “Hirsutism” ambapo madaktari hufanya uchunguzi juu ya tatizo [...]
Aliyejioa ajipa talaka baada ya siku 90 ya ndoa yake
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Cris Galera mwenye umri wa miaka 33 alishika vichwa vya habari baada yakujioa miezi mitatau iliyopita, lakini [...]