TID: ndomaana staki

HomeBurudani

TID: ndomaana staki

Msanii wa Bongo Fleva nchini, Khalid Mohamed maarufu kama TID ameonyesha kuchukizwa na kitendo cha waandaji wa Tuzo za Muziki Tanzania kumualika kwenye hafla ya ugawaji tuzo hizo siku ya jumamosi kwa njia ya ujumbe uliomtaka afike kwenye kituo cha mabasi ya Shabiby.

Kupitia ukurasa wake wa Instagrama, TID ameweka picha inayoonyesha ujumbe aliotumiwa na kuandika kwamba ndio maana hapendi na hataki kushiriki tuzo hizo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by TOP IN DAR (@tidmusic)

error: Content is protected !!