Author: Cynthia Chacha
Faida za kiafya za kunywa maji ya vuguvugu
Maji ni uhai. Umuhimu wa maji kwa afya ya mwanadamu hauwezi kusisitizwa kupita kiasi.Maji ya vuguvugu, haisa [...]
Mahakama yaja na teknolojia ya akili bandia
Akizungumzia kuhusu wiki ya siku ya sheria na siku ya Sheria, Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesema kuwa, ili kuhakikisha mhimili wa Ma [...]
Mrithi wa panya Magawa apatikana
Baada ya kifo cha panya Magawa hatimaye mrithi wake amepatikana anafahamika kwa jina la Renin ambapo taarifa zinasema tayari yupo nchini Cambodia kuen [...]
Donge nono kwa atakayefichua wezi wa mita
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), imetangaza donge nono la Sh 500,000 kwa mtu atakayefichua wezi na waharibifu wa mita za ma [...]
Mwanafunzi afariki baada ya kujirusha ghorofani
Manawa Horera mwanafunzi wa mwaka wa pili wa kitivo cha Shahada ya Uhasibu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), amefariki baada ya kuanguka kut [...]
Mfahamu John Okello aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar
John Gideon Okello ni raia wa Uganda aliyeshiriki katika Mapinduzi yaliyoitoa Zanzibar kutoka kwenye minyororo ya utawala wa Waarabu.
Alizaliwa mw [...]

‘Wagonga wanafunzi’ wafungiwa kamera
Baada ya kuwepo kwa idadi kubwa ya wanafunzi kugongwa na magari na kupoteza maisha katika Barabara kuu ya Dodoma - Dar es Salaam, Halmashauri ya Chamw [...]
Mpoto alia na waimba “amapiano” Tanzania
Mshairi nguli kutoka nchini Tanzania Mrisho Mpoto maarufu kwa jina la ‘Mjomba’ amefunguka na kuweka wazi kwamba anasikitishwa na namna baadhi ya wasan [...]
Pepsi na Coca Cola zaadimika mtaani
Baadhi ya wafanyabiashara jiji Dar es Salaam wamesema kwamba soda zinazotengenezwa na kampuni za Pepsi na Coca Cola zimeadimika kwa muda sasa tangu D [...]
Mwenyekiti CCM Shinyanga ataka bango la Ndugai ling’olewe
Mwenyekiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja amesema kwamba kitendo kilichofanywa na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Job Nd [...]