Author: Cynthia Chacha

1 46 47 48 49 50 241 480 / 2401 POSTS
Maana ya ujio wa Kamala nchini

Maana ya ujio wa Kamala nchini

Kwa mara ya kwanza, Kamala Harris, Makamu wa Rais wa Marekani atakanyaga ardhi ya Tanzania kesho Machi 29. Safari yake ina umuhimu mkubwa kwa Tanza [...]
Magazeti ya leo Machi 28,2023

Magazeti ya leo Machi 28,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Machi 28,2023. [...]
Vyombo vya habari 1,123 nchini vimesajiliwa

Vyombo vya habari 1,123 nchini vimesajiliwa

Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye leo katika kikao kazi cha Maafisa Habari, Mawa [...]
Mdee: Watendaji wanaokiuka sheria wachukuliwe hatua

Mdee: Watendaji wanaokiuka sheria wachukuliwe hatua

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeitaka Ofisi ya Rais –TAMISEMI kufanya uchunguzi na kuchukua hatua kwa watendaji wat [...]
Waziri Ummy: Hakuna wagonjwa wapya wa Marburg

Waziri Ummy: Hakuna wagonjwa wapya wa Marburg

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia jana tarehe 25 Machi, 2023 hakuna wagonjwa wapya wa Marburg walioripotiwa licha ya kupokea tetesi se [...]
Ruksa kumrekodi askari

Ruksa kumrekodi askari

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa ruksa kwa abiria kuwarekodi kwa simu askari wa usalama barabarani wanaochukua rushwa kwa madereva [...]
Rais Samia chanzo cha ongezeko la uwekezaji nchini

Rais Samia chanzo cha ongezeko la uwekezaji nchini

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa taarifa kuhusu mwenendo wa hali ya uwekezaji nchini katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais wa a [...]
Ripoti ya Pili: Mhudumu ndiye aliyefungua mlango

Ripoti ya Pili: Mhudumu ndiye aliyefungua mlango

Mapya yaibuka Ripoti ya Pili ya Taasisi ya Uchunguzi wa Ajali ya Ndege (AAIB) iliyo chini ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhusu ajali ya ndege ya Pre [...]
Magazeti ya leo Machi 24,2023

Magazeti ya leo Machi 24,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Machi 24,2023. [...]
Rais Samia na Waziri Majaliwa wanunua tiketi 4000 mechi ya Taifa Stars

Rais Samia na Waziri Majaliwa wanunua tiketi 4000 mechi ya Taifa Stars

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wametoa tiketi 4,000, kwa ajili ya mashabiki kuingia [...]
1 46 47 48 49 50 241 480 / 2401 POSTS
error: Content is protected !!